KWENDA CHUO KIKUU SASA SIO LELEMAMA

Katika kipindi cha serikali ya awamu ya tano kufikia vigezo vya kuingia chuo kikuu ni swala la kutumia juhudi nyingi sana tofauti na miaka ya nyuma kutokana na mabadiliko mengi ya elimu nchini Tanzania.Miongoni mwa mabadiliko hayo ni kutolewa kwa matokeo ya kidato cha nne kwafumo wa division badala ya GPA pia kupandishwa kwa viwango vya ufaulu kidato cha nne na cha sita.kwahiyo wanafunzi walio shuleni tunahitajika kusoma kwa nguvu zote bila kupoteza hata dakika moja.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UHAKIKI WA MALENGA WAPYA

UHAKIKI WA MASHAIRI YA CHEKECHEKA

JINSI YA KUJIBU MASWALI YA FASIHI